Yaani huyu jamaa sasa hivi kasinamisha magari halafu anaongea na simu for almost 30minutes.. Hajali kabisa.
Hivi hawa wanajifunzia wapi hii kazi.
View attachment 490534
Safi umetuelewesha vizuri.Huwa wanafunga baadhi ya marabara kwa muda kulingana na hali ya msongamano wakati fulani, mfano wakati wa asubuhi kuna baadhi ya barabara zinakuwa na msongamano sana kuliko nyingine, sasa hapo yawezekana anawasiliana na wenzake walio katika barabara nyingine au mkubwa wao anayecontrol mji ili apate ruksa ya kufungua barabara. Tatizo letu wabongo huwa hatuna subra na tukisimamishwa na askari hata kama wanania njema tunaona kama vichaa vile kumbe wao wanamawasiliano ya mji mzima wanajua waifungulie barabara gani na waifungie barabara gani na kwa muda gani
....sawa,Huwa wanafunga baadhi ya marabara kwa muda kulingana na hali ya msongamano wakati fulani, mfano wakati wa asubuhi kuna baadhi ya barabara zinakuwa na msongamano sana kuliko nyingine, sasa hapo yawezekana anawasiliana na wenzake walio katika barabara nyingine au mkubwa wao anayecontrol mji ili apate ruksa ya kufungua barabara. Tatizo letu wabongo huwa hatuna subra na tukisimamishwa na askari hata kama wanania njema tunaona kama vichaa vile kumbe wao wanamawasiliano ya mji mzima wanajua waifungulie barabara gani na waifungie barabara gani na kwa muda gani