Kesho bunge linaanza, kesho huyu atasema nini?

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
510
655
Eti wakuu,

Yule mama yetu aliyesema ajira zingetoka mwezi wa tatu wakati hakuna kilichofanyika kesho atauambia umma nini tena. Siasa mpaka kwenye mambo yasio ya siasa.
 
KUNA AJIRA MPYA ZIMETOKA JUZI ZA KUPIGA MAKOFI KWENYE SHUGULI ZA SIRIKALI MALIPO 15000!
BY Tanzania ya Viwanda.
 
Tangu walipositisha ajira mpya hakuna tamko lolote walilotoa hawa viongozi wa serikali lilolo la uhakika. Hapa ni ubashite tu na uongo kwa kwenda mbele.
 
mwanasiasa hawezi kosa jibu ndugu yangu,hiyo hoja yako haina nguvu
 
Kesho vituo vyote vya habari havitaruhusiwa kwenda mubashara pia taarifa zaidi zitawafikia wananchi baada ya sirikali kuchuja kwa manufaa ya fisiem. Hivyo msisumbuke kuwa na viherehere. Oda toka kwa sipangiwi, niombeeni
 
Atasema Serikali mbona imetoa Ajira...Atatoa mifano ya TPA pia Madaktari 500 waliotaka pelekwa Kenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom