Nyakanazi, Biharamulo: Nyumba zaidi ya 50 zaezuliwa kwa upepo mkali

ndyana

Senior Member
Jul 12, 2015
152
28
Nyumba zaidi ya hamsini zimeezuliwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha hapa Nyakanazi, wilayani Biharamulo mkoni Kagera. Miti kadhaa pia imeng'olewa na upepo huo
 
Poleni sana ndugu zetu wa Nyakanazi. Nadhani Ofisi ya Waziri Mkuu, kitengo cha Majanga na maafa watapita hapa na kuona huu uzi.
 
Biharamulo iko Kagera. Wasubiri majibu ya Mzee wao toka kanda yao akisema hivi: 'Serikali huwa haileti upepo'. Si wanakumbuka aliwaambia serikali haikuleta tetemeko?
 
Back
Top Bottom