Mtu yeyote anaweza kuushika Mwenge wa Uhuru?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Poleni na majukumu wakuu

Km kichwa cha habari kinavyosomeka, binafsi naataka kujua, ni mtu wa aina gani na mwenye sifa zipi ndo anapaswa kuushika Mwenge?

Natamani kuugusa tu km kuushika ntashindwa.

Nasikia mwenge umewashwa tayari kwa mbio, ili uweze kumulika walanguzi na mafisadi kwa mwaka huu.

Huu Mwenge nilishawahi kuuona Mara moja tu tena kwa mbali, zaman sana nikiwa shule ya msngi, ulipita shuleni, tangu hapo huwa naishia kuuona kwa TV tu na magazeti na humu JF.

Shauku yangu napenda niushike, niuone kwa karibu nijiridhishe,

Km yeyote anaweza kuushika tafadhalini nisaidieni nipate nafasi niushike tu,
 
Inategemea n utratibu utakaokuwa umepangwa mahali husika wakati wa kuupokea. Binafsi nimewahi kuubeba nikiwa mwalimu shule fulani kipindi hicho ulikuja kuzindua majengo. Baadhi ya wanafunzi walipangwa kuupokea na mimi pia niliweza kuubeba na kutembea nao kwa mita kama hamsini hivi
 
Back
Top Bottom