Kwanini watu wembamba hufanikiwa sana kushika pesa na madaraka?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Salam wandugu.

Nimekuwa nikifuatilia matajiri na viongozi wengi na wakubwa duniani kote, wengi huwa wembamba.

Barack Obama, George W Bush, Dk John Magufuli, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Mwl Nyerere, Gwajima Josephat, January Makamba, Humphrey Polepole, Edward Lowasa, Kingunge Ngombare Mwilu, Ally Hassan Mwinyi, Balozi wa Japan nchini Tanzania, BADHITE DAUDI, Hashimu Rungwe, Maalim Self Sharif Hamad, Salum Mwalimu.

Yusuph Manji, Mohammed Dewji, Reginald Mengi nk.

Sijajua uhusiano wa hii scenario.
 
Mkuu unaniongelea mimi nini? maana nashangaa pesa kwangu haina mbio na popote ninapoona jambo linalohusu pesa najisikia nipo nyumbani.
Kweli pesa mwanaharamu, mimi ni mtu wa kutembea na mtu na dada yake kweli!?
 
Tatizo Nyota mkuu, wenzio tulioshewa
mpesa mpesa kwa Mungu hukoo mambo yetu ni motoo
 
Mkuu unaniongelea mimi nini? maana nashangaa pesa kwangu haina mbio na popote ninapoona jambo linalohusu pesa najisikia nipo nyumbani.
Kweli pesa mwanaharamu, mimi ni mtu wa kutembea na mtu na dada yake kweli!?
Chanjo hakuna Hosp, ichangie basi serekali
 
That is a fallacious argument. Panua wigo wa 'utafiti' wako uone kama hoja zako ni kweli au la.
 
Salam wandugu.

Nimekuwa nikifuatilia matajiri na viongozi wengi na wakubwa duniani kote, wengi huwa wembamba.

Barack Obama, George W Bush, Dk John Magufuli, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Mwl Nyerere, Gwajima Josephat, January Makamba, Humphrey Polepole, Edward Lowasa, Kingunge Ngombare Mwilu, Ally Hassan Mwinyi, Balozi wa Japan nchini Tanzania, BADHITE DAUDI, Hashimu Rungwe, Maalim Self Sharif Hamad, Salum Mwalimu.

Yusuph Manji, Mohammed Dewji, Reginald Mengi nk.

Sijajua uhusiano wa hii scenario.
UNENE HUENDANA NA ULIMBUKENI PAMOJA NA UVIVU,NA UFINYU WA AKAILI,CHUNGUZA WATU WANENE KWA KARIBU UTAGUNDUA.
 
Salam wandugu.

Nimekuwa nikifuatilia matajiri na viongozi wengi na wakubwa duniani kote, wengi huwa wembamba.

Barack Obama, George W Bush, Dk John Magufuli, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Mwl Nyerere, Gwajima Josephat, January Makamba, Humphrey Polepole, Edward Lowasa, Kingunge Ngombare Mwilu, Ally Hassan Mwinyi, Balozi wa Japan nchini Tanzania, BADHITE DAUDI, Hashimu Rungwe, Maalim Self Sharif Hamad, Salum Mwalimu.

Yusuph Manji, Mohammed Dewji, Reginald Mengi nk.

Sijajua uhusiano wa hii scenario.

Mbona kuna ulioataja hapo wengi wao siyo wembamba kiuhalisia na hata kimwonekano kama ulivyotanabaisha Wewe Mkuu? Labda kwanza tupe vigezo vyako vikuu unavyoweza kusema kuwa fulani ni mwembamba au amekondeana kwani yawezekana hapa tukawa tunapishana kimtazamo juu ya hilo. Hivi kati ya Kikwete na Kagame nani kwako Wewe ni mwembamba?
 
Du aiseeh tafiti zimekua nyingi sana siku hizi.

Ila asante kwa kunitia moyo mana na mimi ni mwembamba.
 
Toka hapa webamba mwingine unasababishwa na tamaa kutokuridhika unakuta mtu anakula wali nyama haridhiki anatamani na dagaa samaki pizza bagga nk utanenepa lini? Mtu anakula ugali tembele anaridhika swafi kabisa na mwili unajengeka kama kawaida
 
Hapa moto lazima uwake....timu wembamba vs timu vitambi/vibonge
 
e65913a6ec9cc70d21a91e8b4a672cac.jpg
 
Umesahau kumweka Jack Ma,dimond plutinum,michael Jackson,lakin hao ni wale maarufu unaowajua,,je usiowajua?
 
Toka hapa webamba mwingine unasababishwa na tamaa kutokuridhika unakuta mtu anakula wali nyama haridhiki anatamani na dagaa samaki pizza bagga nk utanenepa lini? Mtu anakula ugali tembele anaridhika swafi kabisa na mwili unajengeka kama kawaida
Yu Made My Day Mkuu
 
Huo utafiti rudisha chumba cha utafiti mkuu itakua umekwapua na kuutupia humu,wambie wamuondoe lowasa,maalim,magu,ata batite pia,af cyo mbaya wakamuweka KAGAME af cyo kila mtu ana wembembe wa hasili....
 
Back
Top Bottom