wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,207
Tangu napata akili hua naona trekta zikipita au zikifanya shughuli za kilimo shambani lakini sijawahi kusikia hata siku moja labda break zimefeli au hazishiki na katika uchunguzi nilofanya kwemye tyre za trekta sijaona drum au disc au break lining hua anaona tyre zimefungwa lakini break zipo naomba kujuzwa mfumo wa break kwenye trekta hua uko kwenye nini