TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Ni baada ya operesheni Tangaza Wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya iliyozinduliwa na RC wa Dar es Salaam , Paul Makonda. Hongera sana RC hivi sasa kwenye vituo vya daladala, vjiweni na maeneo ya maficho watu hawa wamepungua kwa asilimia kubwa. Ni dhahiri sasa vijana wetu watanusurika kutoka mikononi mwa janga hili la madawa ya kulevya.
Vita ni ngumu lakini tusiogope kukutwa na yanayomkuta Makonda kwani Dhahabu haiwezi kuitwa dhahabu bila kupitia kwenye moto.
Vita ni ngumu lakini tusiogope kukutwa na yanayomkuta Makonda kwani Dhahabu haiwezi kuitwa dhahabu bila kupitia kwenye moto.