Punda alikosea wapi?

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
742
Pamoja na huruma na utiifu kwa binadamu lakini bado anaongoza kwa kutolewa mifano mibaya kwa vipengele vingi vya maisha..

Haonewi huruma kabisa..

Wap alikosea hadi wema wake usikumbukwe?

Mf:
Punda wee!! ..
Shukran ya punda....
Yupo darasa la punda...
Punda wahedi..
Sauti kama punda...
Punda afe mzigo wa bwana ufike...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom