Malori 300 makubwa yenye makontena yanapita Tabata road kwa siku, nini kimetokea?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,907
43,821
Nimeshangazwa na ongezeko la ghafla la malori makubwa yenye makontena toka bandarini yakitokea mwelekeo wa relini kwenda mwelekeo wa segerea. Je, wamebadilishiwa ruti? na je hii barabara itamaliza mwezi kweli?
 
Kumbe malori bado yapo,tuliaminishwa uchumi mgumu kiasi kwamba biashara ya malori imedorora
 
Mkuu, kuna mambo mazuri yanaendelea hapa Kinyerezi Power plant... Kama unabisha tupia ka kunguru kako uone kanavyopigwa shoti ndio ujue kuna umeme unazaliwa hapa...

upload_2017-4-3_18-40-19.png
 
Back
Top Bottom