M-pesa leo mmekuwaje?

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Hawa jamaa leo sijuhi kitu gani kimewakuta, malipo mengi yanayofanyika kupitia huko yamekwama pesa haziendi wala kuingia ...ambazo zimetumwa ziko juu juu tu si zinakotoka na wala si zinakokwenda, mmetusumbua sana. Na sijuhi mtatulipa nini make zaidi ya masaa 5 pesa ziko hewani mmeleta hasara kubwa sana kwetu watumiaji
 
Back
Top Bottom