Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Mtu anatumia muda wake kuja kuazima kitu kwako,na pengine kwa ajili ya tukio fulani tu lakini tukio linapita na bado hakurejeshei..
Kwa mfano mwamvuli kwa ajli ya mvua; inaisha na harejeshi.
Begi kwa ajili ya safari anarudi na harejeshi...
Gari kwa ajali ya safari anarudi na harejeshi.
Suti kwa ajili ya sherehe inapita na harejeshi..
Siwapendi kweli watu wa type hii