Suruhu pekee ya kutofanya fujo bungeni hii hapa

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
FB_IMG_1476513371663.jpg

Salaam wadau!..


Najua wote mnajua mchezo wa mpira,ni mara chache sana referee akatoka upande wa moja ya team zinazocheza akafuata sheria zote bila ubinadamu kumtesa.

Tumeshuhudia mareferee kupigwa viwanjani,hii hutokana na kupuuzia ima kwa makusudi au bila kukusudia baadhi ya sheria kiasi kwamba mchezaji anaona kaonewa na kwakuwa nayeye ni bindamu anaweza kushindwa kujizuia na akajikuta anafanya lolote.


Spekear Job Ndugai ni mbunge anaetokana na ccm kwa vyovyote vile atakuwa anafanya kila awezalo kukilinda chama na serkali kwa sababu ndio chama chake.

Ili haya yasitokee kama tu tunavyoona kwenye mpira wa miguu SPEAKER ASTOKANE NA WABUNGE NA IKIWEZEKANA ASIWE NA CHAMA ILI ATENDE HAKI.

TUTAWALAUM SANA AKINA HARIMA MDEE,NA WENGINE LAKIN HAYA NI MTOKEO YA KUWA NA SPEAKER ANAYETOKANA NA CHAMA TAWALA...kwa hio mzizi hapo ni "katiba".

Hata hivi wapinzani Tanzania wako so lenient(humble and polite) ukilinganisha na wapinzani wa mabunge mengine duniani.
 
Back
Top Bottom