MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Tarehe 7 April ya kila mwaka Shirika la Afya Dunia (WHO) liliazimia iwe ni siku ya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani na mwaka huu wamechagua kuongelea msongo wa mawazo au depression ambao ni chanzo cha ulemavu kwa watu wengi.
Msongo wa mawazo au depression ni moja ya mgonjwa ya akili ktk sekta ya afya
Kwa Tanzania INA watu 2.1 million wenye Msongo wa mawazo kwa Takwimu za WHO za mwaka 2015
Kwa sasa 2017 sijui takwimu zikoje zimeshuka au zimeongezeka.