Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,489
900
Assalam

Mwili wa husna Issa Abdallah umewasili nchini Tanzania na sasa upo kondoa mazishi ni leo.

Husna alikusukumwa na boss wake toka gorofani jambo lilosababsha umauti wake.
Hadi sasa serikali na ubalozi wa Tanzania nchini oman hakuna taarifa walotoa..

Watanzania wengi wamekuwa wakikutwa na majanga ya manyanyaso na hata kuuwawa had sasa serikali imeacha raia wake wanangamia.

Natamani kuskia serikali ikipinga manyanyaso ya raia wao nje ya nchi na kuuwawa.

Natamani Serikali ingilie kati suala hili

Nitaleta kila nitachopata mazikoni

40cf3a40e47d6cf125498358bf44c57e.jpg

Jeneza lilobeba mwili wa husna ukitokea oman.

768e5d7560ec39a56897615ef7d4c3c9.jpg

Wadau wengine wakionesha hisia zao kwenye heka heka...

Mungu Tunusuru nasi tuna haki ya kuishi tunatamani serikali ithamini roho zetu kama nchi zingne zinavyothamini Raia wao hata mmoja auliwe basi hadi Rais Ataongea.....

Nawapa pole familia ya husna na wwkzi wote wa Kondoa.

Habari zaidi kuhusiana na hili tukio soma=>Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?
 
Waraabu ni watu katili sana.

Ukitaka kuthibitisha hilo jiulize wale watumwa walionunuliwa waliishia wapi?

Mbona kizazi chao hakipo uarabuni kama kile cha watumwa wa America?

Serikali inatakiwa kuzuia watu wasiingie uarabuni kwa kigezo cha kwenda kufanya kazi.

Natoa pole kwa wafiwa na wanafamilia wote walioguswa na msiba.
 
Waraabu ni watu katili sana.

Ukitaka kuthibitisha hilo jiulize wale watumwa walionunuliwa waliishia wapi?

Mbona kizazi chao hakipo uarabuni kama kile cha watumwa wa America?

Serikali inatakiwa kuzuia watu wasiingie uarabuni kwa kigezo cha kwenda kufanya kazi.

Natoa pole kwa wafiwa na wanafamilia wote walioguswa na msiba.
Wapigwe waarabu hapa kwetu waondoke, potelea mbali
 
Inasikitisha sana...siku zote maskini hana thamani lait hilo tukio lingemuhusu mtoto wa kigogo basi sahizi matamko kila mahali ila mtoto wa maskini karudishwa ndani ya boksi kama pikipiki ya mchina wote wamekaa kimya kama sio binadam mwenzao.Mungu ampumzishe pema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom