Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,123
- 1,386
Kampuni ya nishati ya BP imeamua kumpunguzia mshahara mkurugenzi wake Mkuu kwa 40%,ambapo alikuwa anapokea us $19,000,000/= kwa mwezi, kutokana na wanahisa wa kampuni hiyo kulalamikia kiwango hicho sababu saiz inapitia katika hali ngumu Ya kuporomoka kwa biashara yao.
Nimejaribu kukokotoa kwa Pesa za kwetu kwa thamani ya dollar 1 kwa Leo ya tsh 2235/= nimepata mabillioni mengi
Source: Bbc Swahili