Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Mzee huyu kawa kimya mno kwa nini? Miezi kadhaa kila lililopita alihoji lakini kwa sasa yuko kimya kama Dr.Wa upasuaji,kimya hiki ni underground movement au nini? Hata kama ni mikakati sasa imezidi sana,Kwa uelewa Wangu ni kwamba kakubali utendaji,kama so kweli ajitokeze,kujibu mashambulizi.au yupo nje ya nchi? Kama ameachana na siasa tujue watu wake,pia naomba ampe ruhusu Lissu achukue urais 2020,kwani amekuwa sukari sana,ktk jamii,binafsi mahaba yamezama kwake,ila kama mzee bado anaweza achukue tena ili Lissu abebe 2025.nitafurahi sana,pengine atafumua katiba ya kikoloni.