''Waone wataalamu'' kwanini watu wengi wanauhusudu ushirikina?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Kaka hicho unachofanya hutofanikiwa hadi patengenezwe hapo na wataalamu,
Siku nyingine jamaa kaja na mkwara mwingine "acha mambo ya kitoto, waone wataalamu "

Wataalamu = waganga

Kwanini uchawi na ushirikina unanafasi kubwa sana katika jamii kuliko wataalamu waliosomea darasani?
 
Back
Top Bottom