witness kagirigiri
Member
- Mar 23, 2017
- 64
- 89
Mimi huwa nachukia Sana kuona watunga SHERIA Hawa, ndio wanaoongoza kwa kukiuka SHERIA wanazozitunga wenyewe, hivi kwanini wabunge wasipimwe ili kuona athali za madawa ya kulevya kwa Hawa waheshimiwa? Kama mbunge anaweza kumwambia mbunge mwenzie, WEWE MPUMBAVU, WEWE FARA, WEWE ZIRO Je kwa mtu wa kawaida atafika wapi? Kumbe Rais KUFUNGA Bunge live alikuwa ameona pesa zetu zinapotea bure kwa watu wasio na adabu. Rais ulifanya vema. Ushauli wangu :Rais siku moja Fanya Muamuzi ya kushangaza ulimwengu Kwani ipo siku Hawa watu watauana bungeni.