Wakuu leo nimkutana na vijana fulani wakiwa na mdahalo wa uhalali wa siku ya tarehe 25 dec kama imehalalishwa kibiblia kusheherekewa,Mwenye uwelewa wa hili jambo anisidie/atusaidie
Tafadhari karibuni kwa mjadala mmbarikiwe sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.