Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Wakuu,
Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.
Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni PPF na ningependa kuchukua kafedha kangu kadogo kalichoko kule...kuna njia yoyote ninayoweza itumia kuipata pesa yangu?Sina mpango wa kuajiriwa tena na kuiacha hela yangu mpaka age 55 or 60 its crazy,kwa kipindi hicho haitakuwa na thamani ya sasa
Please advise.