Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

Franswar

Member
Feb 5, 2017
19
45
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
 
watu wanaishi na madukuduku moyoni, siku vurumai ikishakuanzishwa hapa nchini hata na kibaka tu, watu wengi sana wanaweza kujitokeza barabarani kuunga mkono. viongozi wetu wajifunze kwa nchi zingine zilizopata mapinduzi. pia hawatakiwi kufumbia macho ukweli as if nchi hii ni ya kwao peke yao, wajue ni yetu sote na wananchi ndio wamewapigia kura. gadafi alikuwa anatoa vitu vingi kwa wananchi lakini siku walipomgeuka hakuamini, ni kwasababu walilimbikiza dukuduku na hasira mioyoni, na hasira ikijaa moyoni mtu huweza kufanya jambo la kipumbavu.
 
Kumbe bdo mnapenda makonda
 
MIMI NI RAIS NINAYEJIAMINI. SIHITAJI TENA VIKURA VYENU IKIFIKA 2020.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
Anajua
 
anashughulikia swala la filamu za nje kujaa mkoani kwake....hujaona jana kaonana na bongo muvi na kuahidi kuzuia uingizwaji wa filamu za nje mkoani hapa?
tumuhurumie jamani hawezi kujigawa akimaliza hili atafanya hilo....inshaaalah!!!
 
KWANI YEYE AMEKUWA WAZIRI WA MICHEZO?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
Mbona hujamuuliza suala la Ben Saanane? Muulize Siro au Mwigulu Nchemba ndo watakujibu
 
Hata akisema nyinyi si mmekataa kutoa au kutangaza habari na kile anachokisema siku hizi kutaja jina lake tu hamtaki mnataja Office ya mkuu wa mkoa bhasi tena mm ningemshauri ni bora kufanya kazi under cover kuliko media attention
 
Back
Top Bottom