Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 726
Kuna katabia kwenye hii halmashauri hasa idara ya elimu ya kutisha walimu na kuwaona wao si chochote. Hata kama mwalimu amekosea ni vizuri ukamuwajibisha kwa kulinda hadhi yake. Walimu ni watu wazima tena wana familia zao ni vizuri utu wao ukaheshimiwa. Leo sitawataja hao maafsa wa idara ya elimu lakini tabia hii ikiendelea lazima tutawasema wazi.