Watumishi wa umma kutopanda vyeo/madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu

GeeM

JF-Expert Member
Apr 11, 2014
1,897
1,327
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Angellah Kairuki akiwa kwenye kituo cha Utumishi Mkoani Mbeya.

Amesisitiza kwamba, utaratibu huo utaanza mapema iwezekanavyo na kuwataka Watumishi wa Umma kufuata utaratibu utakaoainishwa.

Chanzo: ITV
========

My take: Habari hii ni kati ya nyingi ambazo zinapelekea wananchi wote 'kuisoma namba'.
 
IMG_20170323_203448.jpg
 
Mpaka mafunzo? Huyo anayetoa mafunzo anakua amegewa mafunzo na nani? Na anayempa mafunzo mtoa mafunzo na yeye anakua amegewa mafunzo na nani? Na huyu aliyempa huyu mafunzo....

Kuna namna ya kupiga pesa au kutafuta sababu za kutoajiriwa zinaandaliwa.
 
Back
Top Bottom