Heshima kwa "Madogo" waliorudia ngoma ya Mh.Sugu na Mh.Prof.Jay

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
53,684
120,384
Mwanzoni kwa mwaka nilisikia ngoma kali ya madogo (sijawanyaka majina) wakiirudia ngoma ya Mh.Sugu "Wananiita Sugu" ft Stara!Ile ngoma ni hatari sana madogo wamepita mulemule

Juzi kati tena nimesikia ngoma nyingine hatari sana ikirudiwa. Hapa madogo wame-merge ngoma za Mh.Sugu na Mh.Prof.Jay, DSM na Bongo Dar Es Salaam ft Lady Jay D!

Urudiaji huu umekuja kwa wakati.Ni namna poa sana ya kuheshimu ma-legend wetu na Hip Hop kwa ujumla.

Special Rap Song to demand Ben and ROMA is coming soon!Stay tune,tupo hatua za mwisho
 
Back
Top Bottom