Je freemason dini na wanachoma maiti?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
Eye_of_Providence_by_mutt2000.jpg

Salute!,

Kwanza naomba ieleweke kuwa freemason sio Dini.

Sir Chande aliefariki na kufanyiwa maziko kulingana na Dini ya kihindu wengine wanaita Banian, alikuwa ni muumin wa dini hio ya kihindu....

Duniani hakuna Dini inayoitwa freemason.

Hiki ni kikundi cha watu wanao Amini (NI IMANI SIO DINI)juu ya ujenzi wa mpanagilio mpya wa ulimwengu (NEW WORLD ORDER) katika namna ambayo sio ya kawaida wala haifuati utaratibu wa Ki-Mungu na wala sio Dini.
Na hawana utaratibu wao wa mazishi.

Ili Dini iitwe lazima angalau iwe na vitu hivi:

1. Kitabu: Kwa mfano Biblia na Quran kwa wakiristo na waislam.

2. Mtume :kwa mfano Bahaullah kwa wabaha'i na Yesu Kristo kwa Wakristo.

3. Calender: kwa mfano Badi Calender kwa wabaha'i na Gregorian Calender kwa wakristo.
 
Back
Top Bottom