SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Nadhani mmemuona mtu ambaye ni mlemavu akijishughulisha kwa kuamua kujitafutia riziki .lakini nyie ndugu zetu wa kati kati ya nchi mnapenda kuja huku mjini kuja kuombaomba wakati utakuta mna uwezo wa kujishughulisha.
Embu itumieni sikukuu hii ya muungano kubadilisha style ya kuomba omba na muanze kujishughulisha.
Embu itumieni sikukuu hii ya muungano kubadilisha style ya kuomba omba na muanze kujishughulisha.