GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,696
Rafiki yangu wa Mozambique kanitumia milioni moja nimtafutie simu kali,
kasema kama haitoshi ataniongeza pesa, sasa naomba kujuzwa kwa hapa
Tz simu kali inauzwa bei gani? Ina sifa zipi za ziada ukilinganisha na Huawei
yangu ambayo ni Y530?
Sehemu ya ujumbe wake (Nitafutie simu kali kuliko zote inayopatikana
hapo Bongo na kama pesa haitoshi niambie nitakuongeza hata mara mbili
ya hii).
Jamani huo msimu anaoutaka jamaa una nini cha ziada maana binafsi hii
mismart inanichosha kwa kuisha chaji mapema.