Yale matofali ya kwenye maonesho/maadhimisho yanafaa kujengea nyumba?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,728
10,496
WanaJF,

Naomba kuuliza..

Yale matofali yanayovunjwa kwa kichwa na wanajeshi kwenye maonyesho yao wakati wa maadhimisho ya dhifa za kitaifa, yanafaa kujengea nyumba? Maana yakiguswa tu, bogojoo.

matofali.jpg
 
Hakuna watu waongo kama jeshi la Tanzania, mazoezi yao ni ya kinafki sana....ni walaini kama nyanya.....hakuna kitu wale. Ni bunduki tu huwa tunaogopa....zikisikika paaa! Huwa tunaogopa otherwise mazoezi yao ni mdebwedo sana na uongo kwa sana
 
kama ni waongo ingia kwenye anga zao ndiyo utajuwa kuwa ni waongo au la!
 
Hakuna watu waongo kama jeshi la Tanzania, mazoezi yao ni ya kinafki sana....ni walaini kama nyanya.....hakuna kitu wale. Ni bunduki tu huwa tunaogopa....zikisikika paaa! Huwa tunaogopa otherwise mazoezi yao ni mdebwedo sana na uongo kwa sana
Yaani dogo unabahat nzur me pia ni it na nao uwezoo wa kuhack hahhahahhahaa sasa ngoja nikuondshe jeshi walivo hahahhahaha see u soon
 
Hakuna watu waongo kama jeshi la Tanzania, mazoezi yao ni ya kinafki sana....ni walaini kama nyanya.....hakuna kitu wale. Ni bunduki tu huwa tunaogopa....zikisikika paaa! Huwa tunaogopa otherwise mazoezi yao ni mdebwedo sana na uongo kwa sana
Binti Rwanda kwema wasalimie. ...
 
Back
Top Bottom