Gari la CO2..naomba kuelekezwa...

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
1b1888c94b8032c1afda53771fe7fbfe.jpg



Sielewi hi carbon anaitumia ya nn... Naomba kuelekezwa
 
Mleta Uzi umeuliza awali lako maana una dhana potofu kuhusu Co2 - yaani una maanisha hewa chafu kama ushuzi.

Lakini FYI: Hii hewa inatumika sana viwandani Hasa viwanda vya carbonated soft drinks (CSD ) kama vile vya soda za Azam, pia Pepsi, Coca cola lazima waitumie kama mdau niliye m quote hapa alivyogusia. Hivi wewe hujiulizi awali kwanini kufungua soda nilizozitaja hapo una sikia ile sauti ya Psiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....

 
Kwenye Carbonated Soft Drinks CSD products kama soda za Bakhresa Azam ni lazima itumike, we husikiagi Kuifungua kifumiko unasikia "psiiii..."
Ok!nami nimeelewa sasa,ina maana hata wale jamaa ambao huita wenzao 'psiiiiii' , wanakuwa na CO2.
 
Back
Top Bottom