Vijana wa mwanza wamiaka ile tukiita nyamagana ..nyamga..kipindi cha Mchopa..mnakumbuka ligi za yoso

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Mimi nilikuwa byco....tulikuwa tunafanyia mazoezi nyumba ya uwanja wa ccm kirumba... Siwezi kusahau...zile ligi...

Baada ya byco nilijiunga na OAU iliyokuwa ikiongozwa na Mchopa..

Tujikumbushe jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom