Habari.
Mimi ninahusika na vifaa vya usalama kama CCTV camera, Electric Fence, GPS tracker na vinginevyo. Na ID hii ni kwa ajili ya maswala hayo tu . Lakini kwasababu jamiiforums imenipa manufaa...
========================================
Wakuu huyu ndio Faru Fausta ambaye ni kipofu,usahihi wa habari hii umeletwa na na mkuu cDNA na Sakasaka Mao
Jf kisima cha maarifa
barafu
FARU FAUSTA WA...
Makampuni karibuni yote ya ndege yana jua hilo .Na tayari mengi yamefunga hii system
Flight Guard is an Elta Systems Ltd's brand name for a family of airborne systems for protecting civilian...
Wakuu nimemtumia ndugu fedha za sikukuu leo mchana , kwa M Pesa,lakini kule ziendako hakuna message iliyokuwa delivered ili mtu atoe zile fedha.
Nimewapigia Vodacom Huduma kwa wateja, hakuna jibu...
Kwanza kabisa nitangulie kusema uzi huu si wa kupingana wala kui-challenge serikali yangu bali kuibua mjadala ambao utatusaidia kusimamia vema rasilimali za taifa. Sasa naomba kuanzia hapa...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hospital hii kubwa na ya kisasa inayojengwa huko Chanika nashauri mamlaka husika ziiite MAKONDA HOSPITAL.
WHY?
1. Ndie alie tengeneza proposal ya mradi huu...
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.
Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu.
Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ...
Walevi...
MHARIRI wa habari, Reggie Mhango, wakati huo nikiwa Daily News, aliniambia niende nyumbani nikabadilishe nguo kwa kuwa jioni ile nilitakiwa kufuatana na Mhariri Mtendaji, Ulli Mwambulukutu, kwenda...
Katika kusherekea sikukuu ya pasaka mabucha mengi yamejikuta katika hali ngumu baada ya biashara hiyo kuwa ngumu na nyama nyingi kubaki buchani ikiwa ni tofauti na kipindi cha nyuma.
Ni mda wa wiki sasa pm yangu hapa jamii forum haifunguki sijui kwanini nilileta malalamiko kwa moderator hawajanisaidia afu ipo kwenye mwonekano mpya sielewi kwanini
Moja ya ' Kanuni ' Mama kabisa ya Uandishi wa Habari ni kuwa Neutral and Fair hasa katika upelekaji wa taarifa kwa mlaji au walaji wako lakini hii tabia nimeivumilia kwa muda mrefu sasa na leo...
Wakubwa kama kawaida yao wapemba ustaarabu bado upo na utaendelea kuwepo kama kawaida yao.
Leo nimepata kisafari kidogo kwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki nikiwa pamoja na wife ghafla...
Wasalaaam!!.
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Niwape pole Ndugu wa marehemu askari waliouawa barabara ya Kusini(Lindi, Mtwara).
Kiukweli kabisa tukio la kuuawa askari limeniumiza sana...
Katika hali isiyotarajiwa, baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita juzi walikataa kupokea msaada wa vyakula na sabuni kama zawadi ya sikukuu ya Pasaka...
Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupata eneo la biashara au la kufungua maofisi kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Hii ni kutokana na mji kuwa na eneo finyu sana katikati. Ingependeza sana kuona...
Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu.
Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia...
Mi hii ya Martin Luther king Jr
"We have learned to fly like bird's, we have learned to swim like fish, but we failed to walk as brother's and sisters"
"Find voice in a whispers"
Vipi wewe zako ni...
Huu uzi ni maalumu kwa wale waliotoka mikoa mingine na kwenda Dar bila kuwa na kazi maalum.
Unakuta mtu hana elimu yeyote, hana kipaji hana kazi anadandia gari anajikuta dar. Anaanza kukomaa ili...