madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
Habari wadau
Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni
Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna la kupost