Je, wakoloni wangetupa uhuru mwaka 2017, wangeturithisha flyover ngapi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,898
43,806
Assuming Tanganyika ndio inakabidhiwa uhuru wake mwaka 2017, Je, wangekuwa wametumia kodi zetu kujenga flyover, Airports, SGR's na ndege za kutosha, au na wao wangeishia kuwa kama awamu ya pili, tatu na nne?
 
Wangetuletea maendeleo japokuwa ingekuwa ya indirect kiliko kuwa na wakoloni weusi wanaojali matumbo yao tu, na mambo yasingekuwa hovyohovyo
 
Assuming Tanganyika ndio inakabidhiwa uhuru wake mwaka 2017, Je, wangekuwa wametumia kodi zetu kujenga flyover, Airports, SGR's na ndege za kutosha, au na wao wangeishia kuwa kama awamu ya pili, tatu na nne?
Freedom of expression siyo?.

Sidhani kama tungepata Uhuru mwaka 2017.Kwa "Mawazo mgando" kama ya kipindi hiki ingekuwa ni vigumu watu kudai uhuru.

Unadhani ni nani angekuwa mstari wa mbele kama ilivyokuwa kwa kina Mandela,Nyerere,Nkurumah,Lumumba nk?.Vichwa kama vile havipo tena Afrika.
 
Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom