Najaribu kuwasiliana na Jamii Media kuhusu ID yangu lakini hakuna Customer Care/hakuna jibu.

Apr 15, 2017
5
4
Habari ndugu zangu,

Mwenzenu nina changamoto moja; Nina login vizuri tu kwenye Computer, lakini kwenye Simu na iPad Password inakataa. Nimejaribu kureset lakini sipati Email ya JamiiForums kwenye Email yangu (ile ambayo huwa ni link ya kureset Password). Nimewaandikia mara 2 sasa lakini kmya. Mimi ni mteja kwao na wanapaswa kushughulikia swala langu (Social Network members ambao wanatumia Mtandao bila kulipia ni WATEJA wa huo Mtandao na wanastahili Customer Care - Mark Zukerberg)

Asanteni.
 
Invisible akipita hapa atakusadia tu.

Back
Top Bottom