Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retardedMm nipo Dar ila hawa jamaa hamna kitu. Kesho naenda kuhama mtandao
Which problems?Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana.
Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana.
Afu wanatutoza gharama kama za voda....this guys are so retarded