Watu na lugha

jkalinje

Member
Dec 16, 2016
72
28
“Kansa iliyopo katika vichwa vya viongozi wetu barani Afrika kuwa maendeleo ya nchi zao hayawezi kufikiwa bila kujua lugha ya Kiingereza ni mbaya kwa kuwa inawanyima watu fursa nzuri ya kuelewa mambo mengi yanayoendelea duniani.”-- Ngugi wa Thiong’o
 
Wapeleke basi hospitali kutibu hiyo kansa
 
Binafsi ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa lugha na maendeleo havitegemeani, hatusemi tusijue kiswahili, lakini lazima tujue lugha za wenzetu pia tena ikiwezekana lugha kubwa zote (kiingereza,kifaransa,kijerumani nk.) kwanini?? tu nataka soko kubwa zaidi, tunataka kujifunza zaidi kwa wenzetu, tunataka ajira zaidi nk. pia ni rahisi kuuza kiswahili ukijua lugha zingine.
 
Back
Top Bottom