masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
TOL, Tanzania Oxygen Ltd imekuwa ikivuna Carbon Dioxide pale Mlima Kyejo ka miongo sasa. Cha kushangaza hakuna chochote kinachoonyesha wananchi wa Kyejo kufaidika na uchimbaji wa gesi hii.
Hii ni tofauti na sehemu nyingine ambapo wachimbaji wwa madini hujenga shule na kuchangia maendeleo ya wilaya kupitia halmashauri.
Napendekeza halmashauri ya Busokelo kuanzisha visima vyake ili iuze carbon dioxide kimataifa, na hili linawezekana.