Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka juzi nlimtembelea jamaa yangu mmoja tulisoma naye primary.alisisitiza sana nimtembelee kwake nikashinde siku nzima. Basi nikaenda jumamosi.ameoa ana watoto wawili. Tukiwa sebulen watoto wake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wa jf hamjambo, nimefanya HIV testing mda huu, bahati nzuri matokeo niko -ve ahsante Mungu. hili ni fundisho la kuachana na mademu wengi na kuwa nae mmoja tu ili kupunguza hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Abiria zaidi ya 50 waliokuwa wakitokea jijini Arusha kuelekea Morogoro wamenusurika kufa na baadhi yao kujeruhiwa akiwemo Dereva, baada ya basi la Abood waliokuwa wakisafiria kuligonga gari...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Nawaomben kunijulisha hotel au guest yenye kiwango kizuri maeneo ya ilala bungoni au magomeni. Napenda ziwe na heshima na utulivu atleast wa 80%. Contacts zao nikizipata itakua na ladha zaid. Asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kuna kale kajingle fulani ccm wanakatumia kwenye mikutano yao kanaimba hivi magufuli woyooooooooo mimi nakahitaji wakuu naomba msaada mnipatie wenye nacho
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Wanafunzi 26 wa kidato cha IV mkoani Simiyu hawajui kusoma wala kuandika . Hii imekaaje wadau, maana naona kama ni mazingaombwe kuamini kuwa mtu anaweza fika kidato cha nne (form IV) bila ya...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi channel ten ...kabla ya kusoma habari...mnatathimini mavazi yenu.... unajua mavazi yanabeba thamani kubwa ya kile unachokitangaza... sasa leo huyo dada aliyekuwa anasoma habari za...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Nidhamu ikizidi inakuwa Uoga. Na uoga ni sumu katika maisha ya binadamu yeyote. Kuna kitu katika sakata hili la North Korea na America, linapaswa kuwa funzo katika dunia hii ya leo.... ...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za midaa hii wana Jamvini. Straight to the point. Nmekua nikipokea ujumbe mfupi toka kwa mtanadao wangu husika kuhusu kukamilisha usajili. Licha ya jumbe zote hizo bado nmekua na uwezo wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtu mmoja amefariki leo asubuhi baada ya kutokea ajali ya daladala na treni ya Pugu saa 11 leo alfajr makutano ya Nkrumah. Majeruhi wako 23. Polisi Reli wanasema majeruhi wako 23 , Amana 8 na 15...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki vibali vya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
habari wadau Hapa kidogo nimetatizika na hii sheria mahakama inamuachia huru mshitakiwa halafu polisi nao wanamkamata hebu naomba kidogo ufafanuzi hapo na si faida yangu na faida kwa wengi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
5 Reactions
143 Replies
16K Views
Nimeona documentary hawa samaki wana kula hadi coral reaf na wanazaliana sana na kuna ambao hadi wanapaa, kuna uwezekano waka teketeza dunia, mwenye kujua vizuri kuhusu hili atupe elimu, kitu kina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Hebu nawaomba tueleweshane jambo hili la kuhusu Manji na company ya Quality Group LTD. Jana kuna CEO alikuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu company hiyo. Je, kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Nimesikia kilio cha waigizaji Bongo na jitihada zao za kutawala soko na kujipatia riziki halali. Kwanza poleni sana. Pili ni ushauri tu,kama wewe ni muigizaji mzuri na...
1 Reactions
6 Replies
848 Views
Habari waungwana!!... Najua wapo wasanii ambao walishaamua kuwa upande fulani,na hata anaefuata kazi zake atakuwa tayari anajua kuwa wewe ni chama fulani,nitolee mfano wa marehemu Komba,(mwenyezi...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…