Tueleweshane kuhusu Quality Group LTD na Manji

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,873
Habari zenu wana JF. Hebu nawaomba tueleweshane jambo hili la kuhusu Manji na company ya Quality Group LTD. Jana kuna CEO alikuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu company hiyo. Je, kama kuna CEO mwingine company imeuzwa au ilikuwa siyo ya Manji!!?


 
Kuna CEO na Mwenyekiti, Mwenyeki huwa na hisa kubwa ktk makampuni husika ila CEO anaweza kuwa ni miongoni wa jumbe au ameajiriwa kuongoza kampuni
 
quality group ni kampuni ambayo inamilikiwa na sukiana manji,yusuph manji's mother.kuhusu mfumo wa uongozi ni pasua kichwa manji ni executive chairman,arif iqbal sheikh ni more-derech of group alikuwa promoted baada ya kufanya kazi kubwa akiwa ceo kama IV PLANTS in mwanza.mradi wa stone village.kiwanda cha matrekta,viwanda viwili vya sukari na kiwanda cha maziwa.e kiosk na makampuni mengine mapya ndani na nje ya nchi kama fasta fasta, pamojaapp,leoleo,leoplus,purple cowe media ambao ndio wasimamizi wa tanzanialeadership award.quality health limited few to mention.mr manji akaamua kumpatia cheo alichokuwa nacho yeye kwani jamaa yuko vizuri sana.nicholas ralph the former banker akapewa uceo na ofisi yake iko austraria kwenye yeye cheo chake ni group grobal ceo.
 
Back
Top Bottom