channel Ten.. ebu wavisheni vizuri wadada wanaosoma taarifa za habari ..hasa za biashara

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Hivi channel ten ...kabla ya kusoma habari...mnatathimini mavazi yenu.... unajua mavazi yanabeba thamani kubwa ya kile unachokitangaza...

sasa leo huyo dada aliyekuwa anasoma habari za biashara...hiyo blouse (blauzi) aliyokuwa kavaa utadhani...anaelekea kariakoo kununua viazi vya chips...

ebu badilikeni...vitu vingine ni vidogo sana ila vinaongeza thamani kubwa...

Iki mnachokifanya si haibu kwenu tu...ni taifa kwa ujumla..

badilikeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom