Nidhamu ikizidi inakuwa Uoga. Na uoga ni sumu katika maisha ya binadamu yeyote

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Nidhamu ikizidi inakuwa Uoga. Na uoga ni sumu katika maisha ya binadamu yeyote.
Kuna kitu katika sakata hili la North Korea na America, linapaswa kuwa funzo katika dunia hii ya leo.... :
1.Nidhamu ya uoga ni adui namba moja katika maisha yako.
2.Ukitaka kupigana na adui usiangalie nyuma bali mtazame usoni.
3.Njama ikizidi Vita itakuwepo, haiepukiki.
4.Adui akizidisha mashambulizi tafuta njia ya kujihami.

Huyu ndie Rais wa Korea Kaskazini mwenye umri mdogo lakini ana jeuri kuliko kiongozi yeyote duniani.Msimamo wake usiotetereka umemfanya Trump aombe suluhu, mimi binafsi vita siipendi ila mpaka hapa katoa somo.

Trump kumbe alitaka ku attack psychologically akiamini dogo ataweka silaha chini kinyume chake mambo yamekuwa mambo ameambiwa ajaribu aone mziki wake. Trump kaufyata mkia wa mbele.

tmp_9856-FB_IMG_14926100967601236586467.jpg
 
View attachment 498331
Haka kajamaa nakaelewa sana
 
Ivi wachambuzi wa mambo ya kimataifa kuna sehemu mnakosea, tunakazana sana kujua hatma ya hii vita lakini mmesahau kwamba north korea inatishia imani dunia sio marekani tu peke ake. Hata sisi izo nyuklia zitatuathiri sana tu, kwa sababu tunajiona tupo mbali aina maana kwamba tupo salama. North Korea anatakiwa kupingwa kwa namna yoyote ile. Acheni ushabiki kwenye masuala nyeti kama haya tafadhalini ndugu zanguni.
 
Back
Top Bottom