Mwenye uelewa na samaki aina ya Star fish na Jelly fish

Kelvin X

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,939
2,396
Nimeona documentary hawa samaki wana kula hadi coral reaf na wanazaliana sana na kuna ambao hadi wanapaa, kuna uwezekano waka teketeza dunia, mwenye kujua vizuri kuhusu hili atupe elimu, kitu kina kula mwamba ndo nini iyo?
 
Nimeona documentary hawa samaki wana kula hadi coral reaf na wanazalia sana na kuna ambao hadi wanapaa, kun uwezekano waka teketeza dunia, mwenye kujua vizuri kuhusu hili atue elimu
kuteketeza dunia, kivipi dadavua basi
 
Wengine wamefanana na zile steath bomber za marekani anazo taka mpiga nazo mnyoa kiduku, watch Nat Geo saivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom