Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
Gari iliokosa mwelekeo askari baadhi waliruka na wengine walinguka nayo hivyo inaonekana wakati wanajitete nafsi zao ndio wakashambuliwa, inaonekana jambazi aliwafata kwa mujibu wa maelezo ya polisi.
weka picha yake
 
Wajuzi mtuambie.. Mana inaonekana gari haikuharibika sana kwa risasi ikiharibika kutokana na kupinduka ukiachia tundu la risasi lililopiga kioo kwa mbele...
Ndugu itakuwa bado hujakutana na sharp shooters. Inaonekana jamaa alikuwa good marksman maana one bullet ilitoboa kioo usawa wa kifua cha dereva the other ones tatu pia on target kwenye passenger seat.
Giza sio shida kabisa ilimradi target yako unaijua ilipo
 
Na ninani aliyemuona huyo mlengaji kuwa ni mmoja?
Ata kama siyo mmoja.. Nashangaa pia precision ya hao wadunguaji.. Yani kuhit target kwa 99% they must be highly trained.. Coz ata aliyepona amejeruhiwa siyo kwamba ametoka mzima kabisa..
 
Back
Top Bottom