WanaJF naomba kujua hotel

CalifNice

Member
Mar 28, 2012
78
28
Nawaomben kunijulisha hotel au guest yenye kiwango kizuri maeneo ya ilala bungoni au magomeni.
Napenda ziwe na heshima na utulivu atleast wa 80%.
Contacts zao nikizipata itakua na ladha zaid.
Asanteni
 
new bondeni hotel magomeni mapipa! bei 30 elfu pamoja na chai ya usubuhi!
 
Ndekha hotel magomeni mwembe chai,,,,iko karibu na WIPULA GUEST HOUSE ya kina MKWERE
 
wajameni nawashukuruni nyinyi wote mlionisaidia kupata ya hotel ya kutulia...
God bless you all...!
 
Back
Top Bottom