MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,228
Wanafunzi 26 wa kidato cha IV mkoani Simiyu hawajui kusoma wala kuandika .
Hii imekaaje wadau, maana naona kama ni mazingaombwe kuamini kuwa mtu anaweza
fika kidato cha nne (form IV) bila ya kujua kusoma wala kuandika.
(Credit: Mwananchi newspaper).
Ninapata maswali mengi yasiyo na majibu :
01. Je, tatizo ni wanafunzi wenyewe kutokuwa na mwamko wa elimu ?
02. Je, walimu na ufundishaji ndio tatizo ?
03. Je, mtaala (education curriculum) hautekelezeki kwa vitendo..?
04. Je, huwa wanafunzi hao wanafanyaje mitihani yao ya kufunga muhula na test (majaribio) mnbali mbali yatolewayo shuleni..?
05. Je, walifanikiwaje kufanya mtihani wa darasa la saba na kufaulu?
06. Je, kuna umuhimu wa kuwa na mchujo mkali kwenye suala la elimu badala ya kuacha hivi ilivyo ambapo inakuwa kama ni compulsory education?