Askari mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,189
2,970
Tanzania Daima.JPG
 
Hapa kuna tatizo, unaweza ukakutana na binti ama mke wa mtu wengi huwa hawasemi kama ni wanafunzi au wameolewa sababu kuu huwa ni za kiuchumi(umaskini), inawezekana askari alikuwa hajui kama ni mwanafunzi.
 
Kwa hiyo kama ana hisia ndiyo abandue mwanafunzi. Awe mpole. 30yrs inamhusu huyu

Hoja yangu haikuwa katika Kitendo ambacho kimsingi hata Mimi nakipinga ILA sijapenda aina ya Uandishi wa Kichafuzi wa kutumia Tasnia ya Mtu kama kutaka kumdhalilisha au kuidhalilisha Taasisi yake husika. Ni suala tu la Mtu binafsi hilo isipokuwa Wewe tatizo lako huwa unapenda mno kukurupuka kutaka kunijibu na nilidhani zile dozi mbili tatu nilizokupa huko nyuma zilikunyoosha na kukufundisha kitu.
 
Sisi tukiwa watuhumiwa hawachelewi kutupiga pingu na harassment nyingi za kuudhi. Kwetu huku watuhumiwa wanarudishwa remand kwa ving'ora huku waliopembeni mwa barabara wakinyoshewa bunduki.

Je huyu mhalifu anayejuwa sheria kuwa mwanafunzi ni sumu anastahili adhabu gani ?!
 
Funga kabisa fataki huyo
alizoea kusimamia wenzake na bunduki sasa atashikiwa yeye bunduki... Shwain
 
Huyu askari kama alikuwa anajua huyu ni mwanafunzi na kampa mimba basi miaka 30 ni haki yake kuishi jela.

Sidhani kama sheria inatambua iwapo ulikuwa unajua au hujui kama ni mwanafunzi kutokujua kwake sidhani kama kunaweza kuwa kinga kwake
 
Back
Top Bottom