Kemikali hiyo ya Fluoride ndio inayotumika kusafishia maji tunayokunywa na pia inapatikana kwenye dawa moja ya meno maarufu nchini.
Nchi zilizoendelea kama Marekani wamepiga marufuku matumizi ya...
Wadau habari zenu!
Mimi ni miongoni mwa watu wenye mipango ya kuishi maeneo ya mkuranga siku za usoni!
Nasikitishwa sana na matukio hayo yanayotokea maeneo ya pembezoni.
Kwa kifupi nimedhamilia...
Wakuu mambo vipi!? Nilitamani kujua kuendesha gari na nikaona ni muhimu nikasomea driving nikapata na leseni takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tatizo ni kwamba toka nimemaliza mafunzo...
Jana nimepaki gari in few minutes naingia one of the shopping malll ndani ya Rock City Mwanza shopping Mall nakuta wameniibia side light, na isingekuwa kuwahi alikuwa kasaanza kungoa Side...
Ndugu mheshimiwa kama bandiko linavojieleza ni kuwa watumishi hawana wa kuwasemea wanafanya kazi masaa mengi wakati shughuli nyingine za maendeleo zinalala
Lengo la bandiko hili ni kuleta hoja...
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe ametangaza mabadiliko muhimu katika biashara ya mkaa nchini na kusema kuwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu hakuna mkaa wowote utakaosafirishwa...
Habari zenu wadau humu?!
Mnamo 20 March 2017 nilileta maada humu ya kulalamikia madai yetu sisi mafundi na vibarua Dodoma, hapa. Ilikuwa na kichwa kisemacho; DODOMA, Ujenzi wa Ofisi za Waziri...
Ukweli ni kwamba nchi yoyote duniani iliyoendelea kiuchumi imepitia au imo katika uchimbaji,uchenjuaji na utumiaji wa madini ya Uranium. Nchi hizo zilianzisha shughuli hiyo bila amri ya nguzo...
Ndugu wadau, hoja yangu hapa ni matamshi ya Jpm ktk tangazo la kukata umeme ambapo ktk kusisitiza raisi alisema kuwa neno kata limeundwa na maneno mawili yaani 'ka' na 'ta'.
Kiisimu 'kata' ni neno...
Kuna taarifa zilizoanza kuzaa Katika mitandao ya kijamii kumuonesha mchezo wa tennis No 2 kwa ubora na maarufu duniani wa kike Serena William akiwa na mjamzito wa miezi 5 yaani wiki 20 baada ya...
MKAZI wa Kijiji cha Bisarwi, kata ya Manga, tarafa ya Inano, wilayani Tarime, mkoani Mara, Mwita Nyagosaima (31) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Tarime akidaiwa kuvamia usiku nyumbani kwa...
Kim bwana ananipa raha sana et
"Risasi ya kwanza itakayoingia toka Marekani ikitokea baharini au angani kuingia ardhi ya Korea Kaskazini, basi tutaijibu risasi hiyo kwa kuifunika Marekani kwa...
BBC ni moja kati ya shirika kubwa ambalo hufaamika kwa kutoa taarifa za habari mbalimbali,lkn mnamo 18 April 1930 ikiwa ni miaka 87 imepita shirika hilo lilikosa habari ya kutangaza! ilipofika...
kuna utapeli mwingi ambao nimewahi kuusikia hapa tanzania lakini huu umenistua kidogo.
na umenifanya niamini kwamba tanzania nayo inaweza ikawa ipo kwenye listi ya nchi zinazongoza kwa utapeli...
Kuna mambo muhimu mengi serikali inajitahidi kufanya....niwapongeze kwa hayo..ila kero ya upatikanaji wa maji safi na salama bado inasumbua sana hususani katika vijiji vingi hapa...
Habari waungwana wote
Wiki hii nimeamua kuingia jijini dar jiji la mdogo wetu wa kule kwetu
Dhumuni la safari yangu ni kuja kwenye shughuli zangu za kibiashara na kutalii kidogo na kuangalia...