REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,812
Hii kitu inauzi sana vijana kweli vijana mmewapa ajira ilikuwa ni kilio chao lakini kwanini mnawafanyia hivi asilimia kubwa ya hawa vijana ajira mpya uwalimu sayansi mpaka leo baadhi ya halmashauri hawajapatiwa pesa yao ajili ya kujikimu kama utaratibu ulivyo matokeo yake vijana wanahangaika sasa maana kuhusu maradhi chakula n.k
Maana hata baadhi ya halmshauri hazijishugulishi kabisa na kutoa huduma kwa hawa vijana zaidi ya kutupiana mpira tu mkurugenzi anatupa mpira kwa Afisa Elimu anatupa mpira kwa Mkuu wa Shule, Mkuu wa Shule atampatia nini huyu kijana kwa hali ya sasa elimu bure uyu mkuu anafungu gani la kumsaidia huyu kijana jamani wasaidieni hawa watoto maana kabla hata hawajaanza ajira tayari wanakumbana na changamoto hivi kweli watapenda kazi yao.