Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
Hello JF,
Sijui mnalionaje wazo hili?
Mawaziri wasiwe wanateuliwa na mkuu bali uchaguzi wao uwe kama watu wengine wanavyopata kazi.
Yaani ajira zitangazwe, kufanyike interview, then whoever is good enough for the post apewe uwaziri. Akiperform vibaya ajue kuna kuachishwa.
Lengo la kufanya hivi ni ku tap most educated, intelligent and skillful people na pia serikali nadhani ingemuajiri occupational psychologist ili kuishauri jinsi ya ku run baadhi ya mambo, kama selection and recruitment, identify where skills are needed and suggest most apropriate government structure.