Ni zamu ya graduates kupewa nafasi katika kazi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Hello JF,

Nilikua nadhani, waajiri pamoja na Rais wetu, wasingekuwa wanaajiri watu wa zamani, watu na ma Phd za zamani mno wasingepewa sehemu, lol!

Wakati huo walivyokua awarded hizo degree zao, labda topics zao zilikua zina matter ila ukiziingiza kwenye wakati wa sasa hazi fit.

Ni zamu ya graduates kupewa nafasi katika kazi, only supervised a little, lol wamesoma kwenye mazingira ya sasa na wana uwezo wa ku apply knowledge waliyoipata shuleni.
 
Mi naunga mkono hoja ya graduates tupewe ajira. Hayo mengine watajua wenyewe,mizee imejazana ofisini,za serekali over 65 na hawaachii ngazi.
 
...hello JF,

...nilikua nadhani,waajiri pamoja na Rais wetu,wasingekuwa wanaajiri watu wa zamani,:oops::oops::oops::oops:

....watu na ma Phd,za zamani mno wasingepewa sehemu ,lol

...wakati huo walivyokua awarded hizo degree zao,labda topics zao zilikua zina matter,

....ila ukiziingiza kwenye wakati wa sasa hazi fit,

....ni zamu ya graduates kupewa nafasi katika kazi,only supervised a little,lol

...wamesoma kwenye mazingira ya sasa,na wana uwezo wa ku apply knowledge waliyoipata shuleni....................

nimejilipua,mkinishushua nasepa,lol
Graduates anko awakumbuke awape hata ugambo wa jiji tu daah maana naona bahasha za kaki si mchezo
 
Mi naunga mkono hoja ya graduates tupewe ajira. Hayo mengine watajua wenyewe,mizee imejazana ofisini,za serekali over 65 na hawaachii ngazi.
Tatizo lenu mnafikiri kazi ya waajiri ni kuwasaidia Waajiriwa maisha

- Malengo ya mwajiri na mwajiriwa ni tofauti kabisa, wakati mwajiri anahangaika kutafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa bidii, uwezo, na kuongeza faida ya kampuni yake mwajiriwa yeye anaweza kulipwa mshahara mzuri aisaidie familia yake - malengo 2 tofauti
 
Mi naunga mkono hoja ya graduates tupewe ajira. Hayo mengine watajua wenyewe,mizee imejazana ofisini,za serekali over 65 na hawaachii ngazi.

Mkuu nimefikiria,wazee wanang'ang'ania ofisi sababu hakuna mfumo unaoeleweka wa kuwasaidia mara hapo watakapoacha kazi...........weka pension ya kueleweka,na kazi ibaki kwa vijana,otherwise forget about it.
 
Hata iweje watu wa umri mkubwa wataendelea kuwepo kazini, hata ukielekeza ajira kwa graduate wa sasa, technology haitasimama eti kwa ajili ya kizazi hiki, vinginevyo Muda wa Kustaaafu upunguzwe hadi miaka 50, kushika wadhifa uwe mwisho miaka 45,ajira iwe ya mikataba na hakuna Kure new, kila mmoja ajitathimi mwaka huu
 
mkuu unataka tuishi km mashetani eeh?
 
Back
Top Bottom